Psalms 25:4-5


4 aNionyeshe njia zako, Ee Bwana,
nifundishe mapito yako,
5 bniongoze katika kweli yako na kunifundisha,
kwa maana wewe ni Mungu Mwokozi wangu,
nalo tumaini langu liko kwako wakati wote.
Copyright information for SwhNEN